MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA KUPITIA CCM MHE.JERRY WILLIAM SILAA JUZI ALISHINDWA KUJIZUIA KWA FURAHA NA KUAMUA KUANZA KUCHEZA NGOMA ZA ASILI YA PWANI NA MNANDA BAADA YA WANANCHI WA CHANIKA KUMWOMBA KUCHEZA PAMOJA NYIMBO HIZO JAMBO LILILOAMSHA HISIA NZITO KWA WANCHI HAO NA KUANZA KUMSHANGILIA MGOMBEA UBUNGE HUYO KIJANA MCHAPAKAZI....
BAADA YA MKUTANO HUO MHE. JERRY SILAA ALIWAAGA KWA KILUGHA NA KUWAAMBIA WANANCHI HAO....Mkulu kumwao.....
Chanika moja...
#KaziIendelee
September 16, 2015
Home
/
NEWS
/
UDAKU
/
BAADA YA MEYA JERRY SILAA KUPATA MAFURIKO YA AJABU HUKO JIMBONI UKONGA..ANGALIA ALICHOANDIKA SASA..
BAADA YA MEYA JERRY SILAA KUPATA MAFURIKO YA AJABU HUKO JIMBONI UKONGA..ANGALIA ALICHOANDIKA SASA..
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
UDAKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment