"Nimeamua kuondoka Chadema na vuguvugu la Ukawa kwa sababu mbalimbali: moja ni ubovu wa kimfumo katika uongozi, uratibu na misimamo.
Fujo: Wafuasi wengi Ukawa bado wana muhemko kwenye kufanya mambo. Naamini uongozi wa nchi unahitaji busara kuhimili kazi. Tumefeli hilo. Kwa siku 39 zilizobaki nitaongea na mamilioni ya mashabiki wangu kuhusu msimamo wangu. Naondoka Chadema, nitamuunga mkono Magufuli". Hayo ni baadhi ya maneno aliyoandika Aunt Ezekiel
Neno moja kwa Aunt Ezekiel.
September 15, 2015
Home
/
NEWS
/
UDAKU
/
Aunty Ezekiel Afunguka Makubwa Kwanini Ameamua Kuondoka UKAWA na sasa Kuisupport CCM
Aunty Ezekiel Afunguka Makubwa Kwanini Ameamua Kuondoka UKAWA na sasa Kuisupport CCM
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
UDAKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment