July 27, 2015

#‎HABARI‬ MBUNGE WA CHADEMA , ATIMKIA CCM LEO CHEKI HAPA ALICHOSEMA


Mbunge wa viti maalum Leticia Nyerere kupitia chama cha CHADEMA, ametangaza kukihama chama hicho cha CHADEMA na kudai kuwa anarudi nyumbani katika chama chake cha CCM. Amesema kuwa kwenda CHADEMA alifanya ujinga bila kutafakari
"Moyo wangu umekuwa ukisononeka kutokana na kukaa CHADEMA na kuacha kukaa katika chama changu cha CCM kilichonilea na kunisomesha hadi nje ya nchi, sasa nasema narudi nyumbani kutumika. Amesema Leticia Nyerere

No comments:

Post a Comment