May 11, 2015

VIDEO..TAZAMA HAPA BONGO WALIVYOMPOKEA ZARRI(WIFI) KWA MARA YA KWANZA ,,ALIA NUSU SAA KISA SHOCK YA MAPOKEZI

Diamond na Zari 2Usiku wa May 1 2015 ndio ilifanyika Zari All White Party Dar es salaam Tanzania, Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wakawa wahusika wakuu na hii ndio ilikua mara ya kwanza Zari anasimama na kuongea mbele ya umati wa Watanzania, hakuamini kilichotokea mpaka akatoa machozi kama inavyoonekana kwenye hii video hapa chini.



No comments:

Post a Comment