May 5, 2015

Updates za mgomo wa madereva wa magari Tanzania - Mei 5, 2015




Leo ni siku ya pili tangu kuanza kwa mgomo wa madereva. nimepita maeneo ya Mbezi, Kimara hakuna daladala kabisa, watu wanasafiri kwa kupanda canter na bajaji. Stand ya mkoa bado hakueleweki abiria wanaonekana kuwa wachache sana. Tofauti na siku ya jana.

UPDATES: - Mabasi yamepaki na machache yanayotoka nje ya mji yakifika Gongo la Mboto yanashusha abiria hayaendi mjini. Barabara ya Gongo la Mboto ilikuwa imefungwa kwa magogo na mawe mpka saa 12.30 askari walipokuja ndio wameyaondoa

No comments:

Post a Comment