May 15, 2015

UNYAMA MKUBWA HEBU ANGALIA MWANAUME ALIVYOMUUA MKE HII LEO

Na Paul Chengula




MWANAMKE mmoja ajulikana kwa jina la Mery Daniely, Mkazi wa mbagala jijini  Dar es salaam,ameelezea jinsi jirani yake alivyokubwa  na mkasa wa kipigo kutoka kwa mume wake ambae hujihusisha udereva wa mabasi makubwa, 

   Mwanamke huyo aliiambia CHENGULA NEWZ kuwa mume huyo amekuwa akimuhisi kuwa mdada huyo  ni muhuni kwa kuchepuka wakati akiwa  safarini jambo ambalo mdada huyo alieuwawa   alisemaga hajawahi kuchepuka 

  Sikuchache mbele mume huyo alirudi nyumbani na kumkuta mkewe hayupo zaidi ya saa moja ndipo alipo hisi kuwa mkewe amekwenda kuchepuka,mume huyo aliondoka na kurejea jion na kumkuta mke wake akiwa ameketi akimsubiri ili wale chakula cha usiku pamoja ndipo mume huyo akaanza kuibua mada hiyo ,

  Katika hali isiyo tegemeka mume huyo  alichukuwa kitu chenye ncha kali na kuanza kumshambulia mke wake kwa makosa ya kuondoka nyumbani bila kuaga,

  Majirani wali chukuwa hatua ya kuvunja mlango na kuingia ndani kutokana na kusikia sauti kubwa ya kuomba msaada  baada ya kuingia ndani wakamkuta mama yule akiwa anavuja damu kila  mahala

No comments:

Post a Comment