May 13, 2015

MTOTO WA DARASA LA NNE AJINYONGA BAFUNI KWA KUKWEPA ADHABU YA WAZAZI WAKE



Mtoto wa darasa la nne wa shule ya Msingi Mkapa amejinyonga, Kwa mujibu wa maelezo ya mwalimu wake mtoto huyo amejinyongea bafuni kwa kukwepa adhabu ya wazazi wake baada ya mtoto huyo kutoroka shule...Taarifa zaidi zitawajia hivi punde.picha si harisi
chanzo jamii forum...http://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/849755-mbeya-mtoto-wa-darasa-la-nne-shule-ya-msingi-mkapa-ajinyonga.html

No comments:

Post a Comment