HAMIDA HASSAN
Nivigumu kuamini! Bwana harusi Abasi Khamis Abdallah amejikuta akizimia zaidi ya mara tatu baada ya kubaini kuwa, bi harusi, Fatuma Salum Omar aliyefunga naye ndoa ni mke wa mtu na ana watoto wanne, Amani lina mkasa kamili.
Tukio hilo la kihistoria lilijiri hivi karibuni, Kigamboni, Dar mara tu baada ya ndoa hiyo kufungwa msikitini ambapo wazazi wa bwana harusi ndiyo waliotonywa kuhusu siri hiyo.
Bwana harusi Abasi Khamis Abdallah na bibi harusi wakiwa na nyuso za furaha siku ya ndoa yao.
Awali, kabla ya ndoa, wazazi wa bwana harusi walimchunguza Fatuma, akawaambia yeye bado ana ‘usichana’ wake hali iliyowaridhisha kuwa wamepata mkwe bora. Simulizi hiyo ya aina yake ilieleza kwamba, Fatuma na Abasi walikutana kwa mara ya kwanza mwaka 2013 bandarini jijini Dar ambapo mwanamke huyo alikuwa akitoa mizigo, wakazama kwenye mapenzi......
No comments:
Post a Comment