May 12, 2015

CHEKI MH LOWASSA ALICHOSEMA KUHUSU KUGOMBEA URAISI 2015..KIKO HAPA










Edward Ngoyai Lowassa
3 hrs · 
Kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nikiombwa na makundi mbalimbali ya vijana, wazee, viongozi wa dini, chama, serikali na hata wananchi wa kawaida kunitaka nitangaze nia ya kuomba ridhaa kwa chama changu, CCM, ili niweze kuteuliwa kukiwakilisha chama kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kwa kipindi chote nimekuwa nikitafakari pamoja na kumuomba Mungu aniongoze kufanya maamuzi sahihi. Mwishoni mwa wiki hii ninatarajia kutoa kauli yangu juu ya jambo hili na nawaomba tuendelee kumuomba Mungu azidi kutupa nguvu na busara ili tuyatende na kufanya yale yampendezayo.
CRDT FACEBBOK

No comments:

Post a Comment