Haya ni baadhi matairi ya magari yalichomwa mtu na baadhi Wananchi maeneo ya stendi kuu ya Ubungo jijini Dar ila Polisi wametumia mabomu ya machozi kuwatawanyisha wananchi hao. Lakini baadhi ya Wananchi hawakukubali hilo nao wakaanza kushika mawe na kuwarushia Polisi, ikawa ni mawe VS Mabomu. Haya ypte chanzo ni mgomo wa Madereva ulioanza leo.
<<<<<PICHA ZA HALI ILIVYO MUDAA HUU HIZI HAPA BOFYA>>>

No comments:
Post a Comment