April 21, 2015

Picha: Nani Alisema Wazazi Hawana Mvuto?-Kajala


Kupitia ukurasa wake mtandaoni, staa wa Bongo Movies anaesifika kuwa figa matata ya kiafrika, Kajala Masanja ‘Kay’ amebandika picha akiwa katika pozi matata (Hiyo hapo juu) na kuachia swali  ambalo bila shaka jibu lake lipo wazi wazi.
Kajala ambae ni mama wa mtoto mmoja ameuliza “Who said moms can't be SEXY???...”
Bila shaka wewe mwenyewe umejionea hapo juu,  hebu mpe majibu.

No comments:

Post a Comment