April 4, 2015

MASKINI MDADA HUYU WA KIKONGO! WEMA SEPETU, KAJALA WAMLIZA VIBAYA!..KISA KIKO HAPA


Roho Inaniuma Sana Naomba Wema Sepetu Umemsamehe Kajala..Hakuna Binadamu Aliyekamilika
Jambo bongo movie! Naitwa gloria, ni mukongomani naye ishi south africa. Napenda sana kazi zenu, tena sana..... Nawapendeni wote. Nina ombi moja, ninge penda muwa unganishe wasani wema sepetu,na kajala. Ahhhhh mimi nawapenda sana, na kila mara ninapo soma kwenye mitandao bifu yao iki endelea ahhhh roho ina niuma sanaaaaa. Naomba wema,amusamehe kajala. Hakuna bina damu aliye kamilika, wote tuna jaribiwa, lakini njia mbadala yaku shinda hayo niku samehe tu kwa moyo mukudjufu, maana hata biblia ina tuomba kusamehe wengini 7*70. Jo kuishi kwa utakaso.... Ijapo kuwa usani, ila tujuwe kuishi uchristu. Najuwa ombi langu lita fika. Peace and love bongo movie.

No comments:

Post a Comment