April 21, 2015

MAJAMBAZI WAVAMIA GARI LA BONITE NA KUUA NA KUPORA FEDHA... PATA HABARI KAMILI HAPA



Majambaz wamevamia gari ya bonite  iliyokuwa  imebeba fedha ambazo ni makusanyo ya depot zao za mjini moshi na kumuua mlinzi mmoja na kumjeruhi dereva Kwa kumpiga risasi za mbavu Kisha kutoweka na fedha zote jana jion

No comments:

Post a Comment