April 10, 2015

HALI NI TETE UBUNGO......MADEREVA WA MIKOANI WAGOMA CHEKI HALI ILIVYO MDA HUU



 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba katika stendi ya Ubungo jijini Dar es Salaam kuna mgomo wa madereva waendeshayo mabasi yaendayo mikoani. Mgomo huo umeanza leo kama ambavyo muungano wa madereva wa vyombo vya usafiri waliahidi wakidai kutotatuliwa kero zao na serikali. Taarifa zaidi pamoja na picha vitawajia hivi punde

No comments:

Post a Comment