#Habari zilizotufikia Hivi punde ni kwamba:
Mwenyekiti wa Jumuia ya wafanya biasha nchini Tanzania Bwana Jonson Minja Ameachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu mkazi Mkoa wa Dodoma baada ya wafanya biashara kuweka mgomo ambao ulikuwa haujafahamika ukomo wake mara moja ambapo suala hilo hapo jana bungeni mjini Dodoma liliibua mjadala miongoni mwa wabunge wakitaka serikali kukaa na kuangalia namna yakuweza kumaliza mgogoro uliopo kwa kupatiwa dhamana kwa mwenyekiti huyo na ili waweze kukaa meza moja na kumaliza tofauti zilizopo.

Hata hivyo moja ya mambo ambayo Mwenyekiti huyo anakabiliwa nayo ni pamoja na mashtaka mawili ya kuwachochea wafanyabiashara mkoani Dodoma kutenda kosa na kuwakataza wafanyabiashara nchini wasitumie mashine za kieletroniki za kukusanya kodi za EFDS ambavyo vyote ni makosa ya jinai.

No comments:
Post a Comment