April 14, 2015

AJALI NYINGINE MDAA HUU....HUKO PWANI HAPA KUNAFULL STORY



 
Breaking news. Basi kampuni ya Gamet limepata ajali maeneo ya Kibiti mkoani Pwani baada ya kutaka kumkwepa mtu mwenye tatizo la akili lakini halikufanikiwa kumkwepa na kumgonga na kuacha njia na kupinduka.

Katika tukio inaalifiwa kifo cha mtu mmoja aliyegongwa na wengine majeruhi. PICHA NA TAARIFA KWA HISANI YA Abdulaziz Ahmeid Abdulaziz

No comments:

Post a Comment