Wanaume kwa kawaida hutumia mbinu nyingi pale wanaposaka papuch.
Mdada utasifiwa hadi sifa ambazo hata malaika hana! Mara romantic eyes... sijui nini nini mouth (mnajua wenyewe mnavyoita) nk.
Wakati huohuo hata anayesifiwa anajua kabisa hizo sifa hana. Lakin anadhani pengne anayemsifia anaziona maana kuna vimisemo vya kudanganyana kama Yako machoni mwa mtu, mapenzi hayana formula nk.
Lakini niwaeleze tu hasa wadada ukiona umesifiwa sifa hadi ambazo huna ujue lengo la msifiaji ni kukugegeda tu na akishafanya hivyo lazima akupige chini labda kama ameona kingine cha ziada huko faraghani.
No comments:
Post a Comment