March 9, 2015

STAILI MPYA YA NYWELE NA MAVAZI YA WEMA AKIWA ARUSHA YAWA GUMZO MTANDAONI ..CHEKI HAPA



  Picha za Wema Mpya Alizoweka Jana kwenye Mtandao wa Instagram Akiwa arusha na Mashabiki wake zimezua Mjadala huko Instagram Huku wengi wakimsifia kwa jinsi alivyopendeza na mkata huo wa nguvu baadhi ya wachache ambao inaaminika ni mashabiki wa Zari walitoa maoni yao na kusema kumbe hata wema hana nywele za mbele kama Zari ...ikumbukwe kipindi cha nyuma Team Wema Sepetu Walikuwa wakimkejeli Zari kuwa anakipara .....

Je Wewe Msomaji Una Maoni Gani ? Angalia Picha zingine Hapa Chini:




No comments:

Post a Comment