March 19, 2015

PICHAZ: HAWA NDIO MASTAA WATANO WA KIKE WANAOONGOZA KWA UZURI BONGO MUVI!



 
Katika game ya Bongo Movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao ni:
  1. WELU SENGO 
  2. YOBNESH YUSUPH(BATULI)
  3. WEMA SEPETU
  4. ELIZABETH MICHAEL (LULU)
  5. IRENE UWOYA
Orodha hii ni kwa maoni ya watu niliozungumza nao mimi mwenyewe toa maoni yako. By Iron Finger on JF 
Na wewe kama mdau una nafasi ya kutuandikia chochote kinachohusu Bongo Movies na sisi tutakileta hapa. Panga list yako ya top 5 kish itupitie kwa comment box hapo chini! Karibuni huu ni uwanja wenu wakufunguka kuhusu tasnia ya filamu hapa Bongo.Vigezo na masharti huzingatiwa!

No comments:

Post a Comment