March 12, 2015

MTOTO WA AJABU AZALIWA HOSPITALI YA MKOA SHINYANGA ONYO .PICHA ZINATISHA


Maskini Huyu mtoto amezaliwa usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya serikali ya Shinyanga akiwa na Vingo sehemu zisizo sahihi na baada ya muda alifariki Dunia

Najiuliza kwa Sauti Je nini Sababu za Watoto Kama Hawa ? Kwani matukio ya wazazi kujifungua watoto wa ajabu yamekuwa mengi nyakati hizi....

No comments:

Post a Comment