March 9, 2015

MCHUNGAJI AWASHAWISHI WAUMINI WAKE KUKATA SEHEMU ZA SIRI ILI WAWE KARIBU NA MUNGU CHEKI HAPA



Mhubiri maarufu wa dini India ambaye ana wafuasi zaidi ya milioni hamsini duniani Gurmeet Ram Rahim Singh anakabiliwa na mashtaka ya kusababisha majeruhi kwa tuhuma za kuwashawishi wafuasi wake 400 kukata sehemu zao za siri ili waweze kuwa karibu na Mungu. Singh aliwaambia wafuasi wake kwamba wale ambao wanaotekeleza amri hiyo watakuwa na uwezo wa kumuona Mungu. Wafuasi wa Singh walikata sehemu zao za siri kwenye Hospitali ambayo yeye anaimiliki
Una lipi la kusema juu ya hilo?

No comments:

Post a Comment