Bila shaka msomaji wa blogu hii unampenda sana wako kipenzi na yawezekana unafanya kama huyo hapo kwenye picha anavyofanya kuonyesha kuwa mnapendana sana, na ikifika wakati wa chakula cha usiku unabonyeza/ unabonyezwa vizuri tu na unasugua kwa ulaini huku utamu wa mpenzi wako unausikia vizuri.
Ebu fikiria iwapo inatokea siku moja, mpenzi wako akakusaliti na kwenda kumpa chakula cha usiku mtu mweingine utajisikiaje? au itokee siku mpenzi wako akaamua kukuacha na kwenda kuolewa na mtu mwingine.
Fikria maumivu utayoyapata ni ya aina gani? Hakika penzi ni tamu kwelikweli hasa kwa yule anayempenda kwa moyo wote. Sasa tujadiliane unasemaje?bonyeza hpo kwenye hiyo lonk uingie moja kwa moja kusoma utamu wote
<<<Uwanja wa Majidiliano wa wapenzi>>>
No comments:
Post a Comment