#TANZIA NOORAH AFIWA NA MKEWE
Msanii wa Bongo Fleva,Noorah amefiwa na mkewe ambaye alikuwa akisumbuliwa na kifua kwa muda mrefu huko kwao Morogoro na mazishi yanafanyika mkoani Morogoro.
Tupia pole yako yako hapa tumfariji Noorah na kumtakia mkewe apumzike kwa amani.
No comments:
Post a Comment