Waziri Mkuu wa Serikali ya wanafunzi wa chuo hicho cha UDSM Bwana Gibson George amesema kuwa chanzo hakijajulikana na nini ila moto umesambaa maeneo mbalimbali ya hosteli hizo.
" Watu wa zimamoto tumewapigia mapema sana ila wamechelewa kufika hadi muda huu ndio wamefika, tumejaribu kuuzima moto na umepungua kidogo japo bado unaendelea kwa baadhi ya vyumba" alisema Waziri Mkuu huyo. ENDELEA KUFUATILIA HAPA NAKULETEA TAARIFA KAMILI..

No comments:
Post a Comment