

MWENDELEZO WA AJALI ZINAVYOZIDI KUTOKEA NCHINI TANZANIA....
HII HAPA AJALI NYINGINE ILIYOTOKEA LEO ASUBUHI 13.03.2015 JIJINI ARUSHA ENEO LA UWANJA WA NDEGE (BURKA) LIKIHUSISHA BASI LA KAMPUNI YA ARUSHA EXPRESS LILILOKUWA LIKIELEKEA MBEYA LIKITOKEA ARUSHA NA LORY.....TAZAMA PICHA HAPA................HABARI ZAIDI TUNAKULETEA HAPA ENDELEA KUFUATILIA
Ajali hizi mbaka lini jamani,hebu madereva wafanye bkazi zao kwa makini wanusuru roho za watanzania.
ReplyDelete