February 13, 2015

UJAUZITO WA ZARI WAMACHANGANYA DIAMONDI PLUTINUM AENDA INDIA KUNUNUA (TOYS )..MIDOLI YA MTOTO ATAKAEZALIWA ACHEZEE



Udaku Special blog
Kwa kile kinachoonekana kufurahia ujauzito alionao Zari, Diamond muhusika wa ujauzito huo hakusita kuonyesha furaha yake hadi ameanza kununua vitu vya kuchezea (Toys) vya mtoto pindi atakapozaliwa.......Amendika hivi kwenye ukurasa wake wa Instagram:

"Ushamba huu, eti nimeshaanza kununua vitoy vya kuchezea..."

No comments:

Post a Comment