Mwanamuziki staa wa bongo fleva Rehema
Chalamila a.k.a Ray C amepoteakatika anga
ya muziki kwa kipindi kirefu kutokana na
matatizo ya matumizi ya madawa ya kulevya
na baada ya kupata tiba sasa mambo
yanaonekana kurudi katika hali yake ya Pamoja na ukimya wake katika muziki, Ray C
a.k.a kiuno bila mfupa sasa anaonekana
kuwa active
zaidi katika mitandao ya kijamii hususan
Instagram.
Ray C ameshare baadhi ya picha na fans
wake kupitia instagram ambazo kwa namna
moja au nyingine zinaongea zenyewe (kwa
kusindikizwa na captions) juu ya maisha yake
ya sasa.
Kwa ufupi ni kuwa Rehema anakula bata tu
sasa hivi, thanks kwa shavu alilopewa na Rais
Jakaya Kikwete ambaye anamuita
No comments:
Post a Comment