February 6, 2015

RAISI MUGABE AANGUKA MARA BAADA YA KUMALIZA KUHUTUBIA AFISA USALAMA WAMUINUA FASTA NA KUMWEKA KWENYE GARI


Mara tu baada ya kuwasili kutoka Ethiopia Jumatano hii, Raisi Wa Zimbabwe aliwasili nchini humo na kuhutubia wananchi waliofika kumpokea. Baada ya kuhutubia raisi huyo ambaye anafikisha miaka 91 tar 21 mwezi huu wa pili(Februali) alianguka akishuka katika ngazi kama ambavyo picha zinaonekana. Akiwa Ethiopia, Mugabe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika (AU)
1. Alianza Kushuka Katika Ngazi 
2. Akakosea Kukanyaga Ngazi na Kuteleza


3. Akaanguka
 

No comments:

Post a Comment