RAISI WA JAMUHURI YA
MUUNGANO WA TANZANIA DK JAKAYA MRISHO KIKWETE ,AMEYATAKA MASHIRIKA MBALIMBALI
HAPA NCHINI , KUWA NA MAWAZO MBADALA YA KUJIONGEZEA KIPATO ILI KUWASAIDIA
WANACHAMA WAO KUONDOKANA NA UMASKINI ,PAMOJA NA KUKUZA UCHUMI WA NCHI
AKIZUNGUMZA HII LEO NA
MAELFU YA WAKAZI NA VIONGOZI WA MANISPAA YA MOSHI MKOANI KILIMANJARO ,KATIKA
UZINDUZI WA JENGO LAKISASA LA KITEGA
UCHUMI, LA MFUKO WA TAIFA WA HIFADHI YA JAMII NSSF ,AMEUPONGEZA MFUKO HUO KWA
KUJENGA JENGO HILO AMBALO LITAKUWA CHACHU YA MAENDELEO KATI MANISPAA YA MOSHI,NAKUYATAKA
MASHIRIKA MENGINE KUIGA SWALA HILO KWA
VITENDO .
JENGO HILO AMBALO NDIO KUBWA KULIKO YOTE ,KATIKA
MANISPAA YA MOSHI LITAJULIKANA KWA JINA LA KILIMANJARO
COMMERICIAL COMPLX NA LIMEGAHRIMU ZAIDI
YA KIASI CHA SHILINGI BILIONI 62 AMBAPO LIMEJENGWA KWA UBIA WA MASHIRIKA MABALIMBALI HUKU MFUKO WA TAIFA WA
JAMII NSSF UKIWA MSHIRIKA MKUU#

No comments:
Post a Comment