February 19, 2015

POMBE SI CHAI..NJEMBA YAKUTWA IKIWA IMELALA NA MTU NA DADA YAKE BAAADA YA KUPOMBEKA ..PICHA HIZI HAPA



Katika hali ya kushangaza kijana mmoja anaefanyakazi katika  kampuni moja ya kitalii amekutwa asubuhi akiwa kalala na mtu na dada yake huku kawakumbatia wote kitandani huku wakiiuchapa usingizi mziiiito mlango ukiwa wazi hii ni kutokana na jana kula kinywaji zaidi na baadae kushindwa kujitambua na kwenda kulala gheto kwa mdogo wao huku dada huyo akiwa amemuacha mume wake nyumbani  ..picha hii nimetumiwa na mdau wangu muhimu asante ...

No comments:

Post a Comment