Hatimaye Franklin Emoubor, raia wa Nigerian ambaye alikuwa mpenzi wa mwanamuziki nyota wa kike nchini Uganda Desire Luzinda amekamatwa.
Waziri wa Maadili wa Uganda Mchungaji Simon Lokodo, amesema kuwa Mnaigeria huyo amekamatwa na kikosi cha polisi cha kimataifa cha Interpol.
Hata hivyo waziri huyo hakueleza iwapo Emoubor anayedaiwa kusambaza mtandaoni picha za utupu za Desire, amekamatwa akiwa wapi.
February 19, 2015
Home
/
LIFE STYLE
/
UDAKU
/
PICHA ZA UCHI KUVUJA: Hatimaye Mpenzi wa Msanii Desire Luzinda akamatwa!
PICHA ZA UCHI KUVUJA: Hatimaye Mpenzi wa Msanii Desire Luzinda akamatwa!
Tags
# LIFE STYLE
# UDAKU
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
UDAKU
Labels:
LIFE STYLE,
UDAKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment