February 9, 2015

PICHA 10 RASMI ZINAZOONYESHA KUWA ZARI NI MJAMZITO........HIZI HAPA MAMA CHIBU......#



10858536_10206224863845498_4240683327711360665_n
Siku zilizosalia za Diamond kuitwa ‘baba’ zinaendelea kuyoyoma. Zari The Bosslady, mchumba wake staa huyo wa ‘Mdogo Mdogo’ anayetarajia kumpa mtoto wake wa kwanza ameendelea kuonekana kama wasemavyo waingereza ‘very pregnant’. 

1503360_10206225110491664_403076215128371373_n

Mrembo huyo wa Uganda ameshare picha kwenye ukurasa wake wa Facebook inayomuonesha jinsi kitumbo chake kinavyozidi kuwa kikubwa. Jionee picha zake zaidi hapo chini.

1610877_10206225111331685_6786905394318085119_n

10978517_10206225112211707_1881020464614613555_n (1)

No comments:

Post a Comment