February 24, 2015

PICHA 10 HIZI HAPA ZA KITU YA MOTO BAND WALICHOFANYA UK NI SHIDAH NYINGINE CHEKI HAPAAA

Vijana wa Yamoto Band jumamosi iliyopita Walipiga Bonge moja la Show huko UK London katika Ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na watu kibao wanaoishi huko, Hizi ni picha za matukio katika Show Hiyo.








Mbuta Nanga nae Alikuwepo.....

No comments:

Post a Comment