February 5, 2015

NIKURIDHISHE KWANI WEWE UNANIRIDHISHA LULU AFUNGUKA KWA WALE WANAOMFATILIA BAADA YA KUPOSTI HIIZI PICHA


Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth  Michale ‘Lulu’ amewatolea uvivu baadhi ya followers wake kwenye mtandao wa Instagram ambao huwa wana DIS kila anachokiweka.
Akionyesha hali ya kutokujali, mwanadada huyo alibandika picha hiyo hapo juu mtandaoni  na kundika;
“Lego get em….. Nikuridhishe Kwani we unaniridhisha!???Am Soleeee...!”
Ujumbe ambao uliugwa mkono na followers wengi na kuwa ‘tag’baadhi ya wale ambao kazi yako wao ni kumponda tu bidada huyu.
Nadhani ujumbe umefika!!!.. Ila picha hii Mh!!

No comments:

Post a Comment