February 7, 2015

MAAJABU MWANAMKE AJIFUNGUA ..KIUMBE KINACHOFANANA NA TEMBO ..PICHA HIZI HAPA


Mwanamke mmoja nchini India amewashangaza wataalamu wa nchi hiyo baaada ya kujifungua kiumbe cha ajabu kinachofanana na tembo ambapo gazet kuu la nnchi hiyo limeripoti habari hiyo huku imani za kishirikina zikihusishwa ...mwanamke huyo Jensor alibeba ujauzito huoo kwa muda wa miaka 2 ambapo alisema alikuwa haeleewi ni kwanini halii hiyo ilimtokea hata ivyo kiumbe hicho kimepelekwa kwa wataalamu wa afya ili kufanya uchunguzi ambapo  mama huyo alijifungulia nyumbani kwake anapoishi na hakupata maumivu yoyote wakati wa kujifungua ....wataalamu wanasema kunabaadhi ya maeneo nchini humu nhali hiyo hujitokeza kila baaada ya miaka mingi kupita..

No comments:

Post a Comment