Kuacha mambo ya usagaji ambayo yamekuwa yakiripotiwa sana kwenye shule za boarding za wasichana sasa limeibuka hili la Wanafunzi kutesana hasa wale wa kidato cha juu kuwatesa wa kidato cha chini ..Kwenye video hii wanafunza hawa wanampa kichapo cha mbwa mwizi mwanafunzi mwenzao huku akiwa hana uwezo wa kujitetea...Habari tulizozipata inasemekana baada ya video hiyo kuvuja na walimu kuiona wanafunzi kadhaa waliohusika walifukuzwa shuleni hapa ..hii imetokea huko South Africa...Video ya kusikitisha hii hapa chini:
VIDEO YANAYOFANYIKA SHULE ZA BOARDING ZA SINGLE
No comments:
Post a Comment