Na Imelda Mtema/Ijumaa
Mwanadada anayeendesha maisha yake kwa kuuza sura kwenye filamu za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa ni muda muafaka wa kufanya mishemishe za kumtafuta mtoto mwingine kwani yule wa kwanza, Paula ameshakua
Akizungumzia mipango yake kwa sasa hasa kwenye suala la kuongeza mtoto, Kajala alisema umri unazidi kuyoyoma na Paula anazidi kuwa mkubwa hivyo ni vyema akamtafutia mdogo wake fasta kabla ya kuamua kutulia.
“Kwa kweli nahitaji kumpata mdogo wake Paula haraka, umri unazidi kusonga mbele, siyo nakuja kuzaa tena Paula kishakuwa mdada mkubwa, itakuwa aibu,” alisema Kajala.
February 13, 2015
Home
/
LIFE STYLE
/
UDAKU
/
KAJALA...ASEMA KWASASA ANAMTAKA MMDOGO WAKE PAULA......KWANI PAULA AMESHAKUWA MKUBWA
KAJALA...ASEMA KWASASA ANAMTAKA MMDOGO WAKE PAULA......KWANI PAULA AMESHAKUWA MKUBWA
Tags
# LIFE STYLE
# UDAKU
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
UDAKU
Labels:
LIFE STYLE,
UDAKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment