Mbali na mambo yote, hakuna anebisha
kuwa muigizaji Elizabeth Michel “Lulu” ni
mrembo na mara zote hakosei katika
mitoko yake hasa linapokuja swala
maswala ya mitindo katika uvaaji na
muonekano kwa ujumla. Nadhani kwa
hilo hakuna ubishi kuwa Lulu yuko
vizuri.
No comments:
Post a Comment