February 6, 2015

HUYU HAPA NDIE WAZIRI MDOGO KABISA DUNIANI ANAMIAKA 16 PEKEE SOMA ZAIDI HAPA

BASHER OTHUMAN

Leo msomaji wangu wa blog jinsi navyopenda upate kila tukio la kusisimua ulimwenguni sikukuacha ukose kumjua binti mdogo mwenye wadhifa wa uwaziri katika nchi ya palestina.
Ni binti ambaye amewapa vijana sauti kubwa katika nchi hiyo . 


Kulingana na maelezo ya waziri huyo kijana mdogo umri miaka 16 ,         yeye mwenyewe anaeleza:Mimi nilifanya pendekezo kwa Waziri        "Mheshimiwa Besaisso alipotembelea mji wangu na alijua mimi nilikuwa Meya wa mji huo. Mimi nilipendekeza wazo na alidhani nnatania, Nilisema ilikuwa nia ya kuwa vijana kujua kwamba hakuna kitu chochote kisichowezekana, " aliiambia blog yetu huko palestine kwa mwakilishi wetu  kuwa , katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Vijana , hii itakuwa ni njia nzuri ya " kuweka vijana katika ajenda ya kisiasa  maeneo ya Palestina na ulimwenguni kote

No comments:

Post a Comment