Chama cha mapinduzi CCM kesho tarehe 1 Feb 2015 kinaadhimisha miaka 38 tangu kuanzishwa kwake mjini songea mkoani Ruvuma......
Kundi la TOT ambalo linamilikiwa na CCM litakuwepo mjini songea kutumbuiza na mwanamuziki Diamond Plutinumz amekubali kutumbuiza baada ya chama cha CCM kukubaliana naye kwa shingo upande kumlipa milioni hamsini (50 mil.) ili Diamond atumbuize kesho.
<<<<<HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA THT NI SHIDAH CHEKI HAPA PICHA 10>>>>>
No comments:
Post a Comment