February 6, 2015

HII NDIO JEURI YA PESA YA ALI KIBA: AJENGA MJENGO WA NGUVU: CHEKI PICHA HAPA




                Ndani ya Hekalu Jumba la Ngvu la Msanii ally Kiba

  
Akimalizia kuweka sawa maeneo ya master bedroom.

Hili ni eneo la Nje la Hekalu la Msanii Ally Kiba
Msanii Wa Bongo Fleva hii leo Kupitia Ukurasa wake wa FB ameamua kuweka hizi Picha zenye mwonekano wa Hekalu(mjengo wa Nguvu) anaoumalizia kuufanyia-renovation

No comments:

Post a Comment