Maswali yamekua mengi sana vichwani kwa watu wengi wakijiuliza kuwa hii Mkata mkaa ni kundi jipya?na kama ni kundi linaundwa na watu wangapi?na vipi kuhusu Tip Top na Tmk Wanaume Family.
Temba kutoka Tmk Wanaume family ameongea na millardayo.com na kutoa ufafanuzi juu ya jina hili>>’Wakata mkaa tunabaki pale pale ni watu wanaofanya kazi ngumu sasa jiulize kama Mkata Mkaa amepata pesa yake anataka kurudi zake kijijini halafu wewe unataka kumdhurumu inakuaje hapo’
‘Kwa hiyo wakata mkaa ni jina jipya tulilokuja nalo lakini ni wale wale Tmk Wanaume Family lakini tumewaongeza watu wengine ambao ni rafiki zetu kama Madee,Julio ingawa utawasikia watu wengine wakiwemo Watangazaji pia wakiwa wanawakilisha Wakata Mkaa.
Credit:Millardayo.
No comments:
Post a Comment