January 13, 2015

UREMBO WAMTOKEA PUANI MUIGIZAJI HUYU WA FILAMU ZA WAKUBWA! -PICHAZ

Farrah Abraham mwigizaji wa filamu za wakubwa amekutwa na mkasa uliobadilisha maisha yake baada ya kufanyiwa zoezi la kuongeza midomo yake na daktari kukosea na midomo kuwa tofauti na alivyotaka. Farrah anasema ” alifanya uchunguzi wa zoezi hili na kumtafuta daktari bora wa kazi hii, ganzi niliyochomwa kabla ya zoezi ndio imesababisha nipate tatizo hili, haikuendana na mimi.
HUU NDIO USHAURI ALIOPEWA DIAMOND HUKO NIGERIA KUHUSU NGOMA YA MDOGO MDOGO!

No comments:

Post a Comment