January 7, 2015

MREMBO ATUPIA PICHA ZA AIBU FACEBOOK BAADA YA KUCHANGANYWA NA LUGHA YA KISWAHILI (PAKIA) ..


Katika hali isiyo ya kawaid dada mmoja ambae jina lake limehifadhiwa amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuweka picha katika mtandao wa kijamii facebook kimakosa kutokana na kuchanganyikiwa kwa lugha iliyokuwa inatumika katika simu yake mpya aliyonunua ambapo awali alikuwa amezoea kutumia lugha ya kiingereza amabapo sehemu iyo iliandikwa upload huku katika lugha ya kiswahli huandikwa pakia ...ambapo hakuelewa kama pakia nikuweka picha mtandaoni na baada ya muda alijikuta akipata matusi kutoka kwa wadau na marafiki zake wakidai kuwa najiuza lakina alikanusha taarifa hizo na nakomba msamaha lakin mwandishi wetu wa info is hot alimrukia inbox nakumuhoji kuusu ukweli wa picha hizo ndipo alipotupa mchanyato wote...na tukaitoa ili iwe fundisho kwa wadada wote kutazama picha hizo katika a/c yake ya faceebook bonyeza hapa PICHA ZA MREMBO ALIECHANGANYWA NA LUGHA...

No comments:

Post a Comment