MAPAJA ya staa wa Shindano la Maisha Plus Season 2, Jacqueline Dustan ‘Jack Maisha Plus’(Pichani juu) yamezua tafrani baada ya wanaume wakware kumsimamia na kumshangaa kutokana na kuvaa nguo fupi iliyomuacha mtupu mapajani
Kwa mujibu wa chanzo, tukio hilo lililowafanya watu washindwe kuendelea na shughuli zao kwa muda lilitokea juzikati katika mgahawa maarufu wa Cape TownFish Market uliopo Msasani jijini Dar ambapo staa huyo alipoona watu wanazidi kumkodolea macho, aliamua kutimka.
“Nilikwenda na kustarehe na marafiki zangu ambao nilikuwa siko nao muda mrefu hapa nchini, sasa nikashangaa ghafla watu wamenizunguka wanahangaikahangaika hadi shughuli za watu hotelini hapo zikawa haziendi vizuri, nikatoka nduki,” alisema Jack.
January 3, 2015
MAPAJA YA JACKLINE WA MAISHA PLUS UTATA MTUPU MTANDAONI LEO......CHEKI HAPA!!!
Tags
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment