Mrembo na mwigizaji Elizabeth Michael aka Lulu, mwenye “followers” zaidi ya laki tatu kwenye mtandao wa INSTAGRAM, leo ameibuka na kuwapa makavu baadhi ya followers wake ambao wamekuwa waki-mdis eti aweki vitu vya maana….Lulu awambia…
“Pipo always have smthng to complain.....Sasa MTU Na akili yake timamu anakuja ku comment on my post ohhhh Weka vitu vya maana kweli!?nwei kwasababu SIKO ktk harakati za kubishana au kugombana nitatoa ushauri tu.....
1.hiyo button Ya Ku follow Cdhani kama ina Sumaku kwenye jina langu useme imekuvuta,fanya uamuzi sahihi kabla hujabadilisha hyo blue kuwa green
2.This z ma personal acc....sio account Ya dunia Na Ndo maana hata wengi wenu mnao comment pumba post zenu ni za ovyo Lkn wala hatujawahi kuwalalamikia

3.Kama mtu unaona unahitaji kuona sana vitu vya maana unaweza ku follow BBC,CNN,ALJAZEERA kuna TBC,ITV Na vyombo vingi vya Habari Na huwa wana acc humu...!
U can't deal wth my shits taratibu change green to blue....kunifollow ️ni kama kupima tu nikimaanisha ni HIARI..!
j/pili Njema- Lulu alimaliaza
j/pili Njema- Lulu alimaliaza
11.01.2015 - Tags: LULU

No comments:
Post a Comment