Najua utapata maswali mengi ya kujiliza inakuwaje mpaka binadamu alikuwa anafanya mpaka papa akafanikiwa kumbaka wakati zile za story za kufanya mapenzi na mbwa zimekuwa za kawaida kabisa,sasa nchini Cuba kulikuwa na mchezo unahusisha watu kupigwa busu na papa alioko kwenye maji.
Yaani unasogea karibu na maji alafu papa anaruka nakuja kukubusu sasa ilitokea sintofahamu baada ya mwanamke mmoja kukaa karibu na maji kwa lengo la kupata busu la papa lakini papa huyo kama kawaida alifanikiwa kumbusu na kurudi kwenye maji lakin alirudi mara ya pili kwa mama huyo na kumrukia kama mtu aliyetaka kubebwa.
Mwanamke huyo alikosea kitu kimoja baada ya papa huyo kurukia alifungua miguu yake na kumpa urahisi papa huyo kumwingilia kimwili na kufanikiwa kumbaka. Moja kati ya madaktari wa wanyama wa majini amesema kwa papa wako kwenye kundi la wanyama ambao huwa wana hamu kubwa ya kufanya mapenzi na kwamba kwa kiutalamu madaktari hao hawawezi kushangaa jambo hilo.

No comments:
Post a Comment