January 21, 2015

KIJANA AMKA SOMA KITABU KILICHOTEKA HISIA ZA VIJANA NA KUWAFANYA WAISHI MAISHA YENYE UPENDO MARUA ....BADO WEWE TU#



Unapokuwa Kijana yapo mengi yanayokuzunguka na hukufanya kukata tama na kuona kama dununia imekulemea na huna msaada wowote wa kusogea mbele ..na unapopata mtu wa kukuonyesha njia ipasayo wewe kupita # huona faraja kubwa sana katika maisha ...ndio maana Mchungaji Mathayo Saruma alikaa nakuona matatizo  ya   vijana maelfu maelfu  ndipo alipoamua kuandika kitabu hiki ili iwe suluhisho kwao vijana kwa  mambo yanayowakuta ..kwa utafiti wangu mdogo niliofanya nimebaini watu waliosoma hiki kitabu wameiinuka sana katika maisha yao na kuishi maisha marua yenye mwelekeo mzuri... ..na kwa kukupa muktasari kidogo je unajua jinsi  ya kuishi maisha ya mapito,unajua kufanya mahusiano mema...unajua jinsi gani utampata mwenzi marua,na nini maaana halisi ya tendo la ndoa kitabu hiki kinamajibu yote ya hayo maswali chakufanya nunua kitabu hiki uwe nacho nyumbani kwako  na baada ya kukisoma utajua nini nachozungumza @  kama unahitaji kitabu hiki wasiliana na mchungaji Saruma kwa kupiga simu  +255764449861 au kwa barua pepe yake mwenyewe mnsaruma@yahoo.com...au pia unaweza wasialiana na mimi  facebook/instagram James ulomy ...na nitakupa maelekezo jinsi ya kupata nakala yako ya kitabu hiki cha MAISHA YENYE UPENDO MARUA .....kilichoteka hisia za vijana kwa shilingi 5000 TUH za kitanzania...





No comments:

Post a Comment