January 23, 2015

KAVA LA KITABU CHA KIM UTATA MTUPU...CHEKI PICHA HAPA


Kim Kardashian ametoa kava litakalotumika kwenye kitabu chake cha picha za selfie kiitwacho ‘Selfish’.
0121-kim-k-selfie-book-selfish-instagram-4 (1)
Kitabu hicho kina picha zake za miaka ya nyuma kabisa kabla hata selfie hazijawa maarufu.
Kwenye kitabu hicho Kim anasema alianza kujipiga picha mwenyewe akiwa na miaka minne tu. “Nilijipiga picha mwenyewe na digital cameras nilipokuwa junior high na high school na nilivutiwa.
“I was always obsessed with selfies,” anasema.
Inasemekana wazo la kutoa kitabu hicho lilitoka kwa mumewe Kanye West. Yeye ndiye aliyekipa jina hilo na timu yake ya Donda ndiyo iliyokitengeneza.
Kitabu hicho kitaingia sokoni mwezi May

No comments:

Post a Comment