January 13, 2015

CHEKI STAIL BEYONCE ALIYOTUMIA KUTANGAZA UJAUZITO WAKE KWA PICHA......NI SHIDAH


Queen Bey aka Beyonce ameweka picha mtandaoni iliyopelekea mashabiki wa familia ya The Carters kupigia mstari kuwa Anategemea mtoto wa pili na rappa Jay Z.
Shabiki mmoja aliandika “Pregnant?” na mwingine akaandika “Very creative announcement.” Mwanzoni mwa wiki hii mtoto wake Blue alisheherekea siku yake ya kuzaliwa.
beyonce-sand
Ndio tumbo au mchanga tu ?
beyonce-sand 2 beyonce-sand 3

TOA MAONI YAKO HAPA

No comments:

Post a Comment